Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yavutia kampuni za Ufaransa zenye utaalamu wa bidhaa za matumizi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 14, 2023
Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yavutia kampuni za Ufaransa zenye utaalamu wa bidhaa za matumizi
Picha hii iliyopigwa Tarehe 13 Aprili 2023 ikionyesha banda la kitaifa la Ufaransa kwenye Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.(Xinhua/Li Xin)

Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yanayoendelea kufanyika katika mkoa wa kusini mwa China wa Hainan yameshuhudia ushiriki wa dhati kutoka kwa kampuni za biashara za Ufaransa zenye ujuzi katika bidhaa muhimu za matumizi ikiwa ni pamoja na manukato na arki, vipodozi, vyakula na vito. 

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha