Eneo la Hexi la Mji wa Tianjin, China latoa huduma rahisi ya kusoma vitabu kwa wasomaji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2023

 https://english.news.cn/20230422/09db76b57fbd4499b9446ab9622a0e74/2023042209db76b57fbd4499b9446ab9622a0e74_20230422a200a3bc92de4433867e002f498a0e71.jpg

Mwanamke akisoma vitabu kwenye duka la vitabu katika Eneo la Hexi la Tianjin, China, Aprili 19, 2023.(Xinhua/Sun Fanyue)

Eneo la Hexi la Mji wa Tianjin limeanzisha mfumo wa huduma ya kusoma ili kuwapa wasomaji wake urahisi wa kusoma vitabu. Kupitia mfumo huo, vitabu vya maktaba katika eneo hilo vinaweza kutumika pamoja na kutolewa kwa umma, na wasomaji wanaweza kuazima na kurejesha vitabu kwa maktaba moja yoyote kwenye eneo hilo. (Xinhua/Sun Fanyue)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha