Jukwaa la 4 la Data za Dunia la Umoja wa Mataifa lafunguliwa huko Hangzhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 25, 2023
Jukwaa la 4 la Data za Dunia la Umoja wa Mataifa lafunguliwa huko Hangzhou, China
Picha hii iliyopigwa Tarehe 24 Aprili 2023 ikionyesha ufunguzi wa Jukwaa la 4 la Data za Dunia la Umoja wa Mataifa huko Hangzhou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. Jukwaa hilo limepangwa kufanyika kuanzia Aprili 24 hadi 27. (Xinhua/Jiang Han)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha