Uchumi wa usiku washamiri kote China wakati wa likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 04, 2023
Uchumi wa usiku washamiri kote China wakati wa likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
Watalii wakitembelea mji wa kale wa Youzhou wa Wilaya inayojiendesha ya makabila ya Watujia na Wamiao ya Youyang, katika Manispaa ya Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Mei 1, 2023. (Picha na Chen Bisheng/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha