Mji wa Xi'an nchini China watafuta mageuzi ya ubunifu ili kuingiza nguvu mpya katika urithi wa kihistoria na kitamaduni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 05, 2023
Mji wa Xi'an nchini China watafuta mageuzi ya ubunifu ili kuingiza nguvu mpya katika urithi wa kihistoria na kitamaduni
Picha hii ya angani iliyopigwa Tarehe 25 Aprili 2023 ikionyesha mandhari ya Mnara wa Kengele huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China. (Xinhua/Shao Rui)

Xi'an, mji wenye historia ya zaidi ya miaka 3,100, ulitumika kama mji mkuu wa enzi 13 za kitawala katika historia ya China. Pia ni nyumbani kwa mashujaa mashuhuri duniani wa Terracotta walioundwa katika Enzi ya Qin (221-207 KK).

Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo umetafuta mageuzi ya ubunifu na kuingiza nguvu mpya katika urithi wa kihistoria na kitamaduni. Watalii hupewa uzoefu wa kitamaduni wa kina kupitia mchanganyiko wa ununuzi bidhaa, vyakula kwenye migahawa na shughuli nyingine za burudani.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha