Katika Picha: Tazama mandhari ya Mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2023
Katika Picha: Tazama mandhari ya Mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Picha hii iliyopigwa Tarehe 11 Mei, 2023 ikionyesha mandhari ya Mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kinshasa ni mji mkuu, mji wa bandari kubwa ya mto na mji mkubwa zaidi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na pia ni kitovu cha kisiasa, kiuchumi na kitamaduni cha nchi hiyo. (Xinhua/Han Xu)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha