Habari Picha: Ndege wakionekana Lhasa, huko Tibet, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 16, 2023
Habari Picha: Ndege wakionekana Lhasa, huko Tibet, Kusini Magharibi mwa China
Picha hii iliyopigwa Mei 14, 2023 ikionyesha ndege jamii ya Garrulax leucolophus au laughingthrush mwenye shavu za hudhurungi katika Wilaya ya Chengguan ya Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Tibet, Kusini-Magharibi mwa China.(Xinhua/Zhang Rufeng)

Katika miaka ya hivi karibuni, Lhasa imeweka umuhimu mkubwa kwenye upandaji miti na uhifadhi wa udongo na maji. Mazingira ya ikolojia ya mijini na vijijini huko Lhasa yamekuwa yakiboreka mwaka hadi mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha