Maskani ya Guanyu-Mji wa Yuncheng

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2023
Maskani ya Guanyu-Mji wa Yuncheng

Mji wa Yuncheng wa Mkoa wa Shanxi ni maskani ya Guan Yu, jemedari maarufu wa China katika Enzi ya Han ya Mashariki. Tokea zama za kale, Mji wa Yuncheng, ambao ardhi yake ni yenye rutuba na usafiri ni rahisi, umejulikana kwa historia yake ndefu, ustaarabu wa jadi wa kale, mabaki mengi ya kihistoria na vipaji wengi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha