Habari Picha: Mandhari ya maeneo yanayozunguka Mto Bahe katika Mji wa Xi'an, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2023
Habari Picha: Mandhari ya maeneo yanayozunguka Mto Bahe katika Mji wa Xi'an, China
Picha hii iliyopigwa Tarehe 16 Aprili 2023 ikionyesha mandhari ya Mnara wa Chang'an kwenye eneo la kiikolojia la Chanba huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China. Maeneo yanayozunguka Mto Bahe katika mji wa kihistoria wa Xi'an ni yenye kuvutia na yamejaa uhai wa kiikolojia. (Xinhua/Liu Xiao)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha