Kongamano la Teknolojia za Akili Bandia Duniani laanza mjini Tianjin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2023
Kongamano la Teknolojia za Akili Bandia Duniani laanza mjini Tianjin, China
Roboti binadamu ikionekana pichani kwenye maonyesho ya teknolojia za akili bandia (AI) ya Kongamano la Saba la Teknolojia za Akili Bandia Duniani (WIC) linalofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China Mei 18, 2023. Kongamano la Saba la Teknolojia za Akili Bandia Duniani (WIC) ambalo ni shughuli kubwa ya AI nchini China, limeanza siku ya Alhamisi katika Manispaa ya Tianjin, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhang Cheng)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha