Eneo lenye mandhari nzuri la Mlima wa Theluji wa Yulong nchini China lapokea watalii milioni 2.4 tangu mwanzoni mwa mwaka huu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2023
Eneo lenye mandhari nzuri la Mlima wa Theluji wa Yulong nchini China lapokea watalii milioni 2.4 tangu mwanzoni mwa mwaka huu
Watalii wakitembelea eneo lenye mandhari nzuri la Mlima wa Theluji wa Yulong katika Mji wa Lijiang, Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Mei 17, 2023. Eneo lenye mandhari nzuri la Mlima wa Theluji wa Yulong nchini China limepokea watalii milioni 2.4 tangu mwanzoni mwa mwaka huu. (Xinhua/Chen Xinbo)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha