“Kuonyesha kiganja” kwa mashine ili kupanda sabwe

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2023
“Kuonyesha kiganja” kwa mashine ili kupanda sabwe
Mei 21, abiria akionyesha kiganja chake ili kupita mlango wa Kituo cha sabwe cha Caoqiao kwenye njia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing.(Picha na Wang Jingyi/Xinhua)

Siku hiyo, huduma ya kuonyesha kiganja kwa mashine ili kupanda sabwe imetumiwa rasmi kwenye njia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing. Baada ya abiria kujiandikisha na kupata huduma hiyo kwenye mashine mahusuhi, wanaweza kuonyesha viganja vyao ili kupanda sabwe kwenye njia hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha