Maonyesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Data Kubwa ya China ya 2023 yaanza Guiyang, Kusini Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Maonyesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Data Kubwa ya China ya 2023 yaanza Guiyang, Kusini Mashariki mwa China
Washiriki wakitembea kuingia kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Data Kubwa ya China Mwaka 2023 huko Guiyang, Mji Mkuu wa Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Mei 26, 2023. Maonyesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Data Kubwa ya China ya Mwaka 2023 yameanza Ijumaa mjini Guiyang, yakionyesha mafanikio mapya ya China kwenye viwanda vya data kubwa na kuhimiza mawasiliano ya biashara husika. (Xinhua/Ou Dongqu)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha