Panda Mei Lan asherehekea miaka 7 tangu kuzaliwa kwake huko Chengdu, Kaskazini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2023
Panda Mei Lan asherehekea miaka 7 tangu kuzaliwa kwake huko Chengdu, Kaskazini Magharibi mwa China
Panda Mei Lan akila boga katika Kituo cha Utafiti wa kuzaliana Panda cha Chengdu huko Chengdu, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, Mei 29, 2023. (Xinhua/Xu Bingjie)

Panda Mei Lan amesherehekea siku ya kutimia miaka 7 tangu kuzaliwa kwake katika Kituo cha Utafiti wa kuzaliana Panda cha Chengdu Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha