Wanafunzi wa kigeni washiriki shughuli ya kuhimiza na kutangaza utamaduni ili kujifunza kuhusu Mkoa wa Guizhou wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2023
Wanafunzi wa kigeni washiriki shughuli ya kuhimiza na kutangaza utamaduni ili kujifunza kuhusu Mkoa wa Guizhou wa China
Wanafunzi wa kigeni nchini China wakijipiga picha wakati wakitembelea daraja la Mto Baling, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 3, 2023. (Xinhua/Tao Liang)

Jumla ya wanafunzi 40 wa kigeni kutoka nchi 24 hivi karibuni wameshiriki shughuli ya kuhimiza na kutangaza utamaduni kwa ajili ya kujifunza kuhusu Mkoa wa Guizhou, hasa mafanikio yake katika ujenzi wa miundombinu ya usafiri na ustawishaji wa vijiji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha