

Lugha Nyingine
Mashindano ya Mbio za Mashua za Dragoni yafanyika kote China kusherehekea Sikukuu ya jadi ya Duanwu (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2023
![]() |
Washiriki wakishindana kwenye mashindano ya mbio za mashua za dragoni katika Manispaa ya Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 22, 2023. (Xinhua/Huang Wei) |
Mashindano ya Mbio za mashua za Dragon yamefanyika kote nchini China kusherehekea Sikukuu ya Tamasha la Mashua ya Dragon au Sikukuu ya Duanwu, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China inayosherehekewa siku ya Tarehe 5, Mwezi wa 5 kila mwaka kwa kalenda ya kilimo ya China, na kwa mwaka huu imeangukia Juni 22.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma