Ujenzi wa mtambo wa kwanza duniani wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wakamilika huko Fuzhou, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2023
Ujenzi wa mtambo wa kwanza duniani wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wakamilika huko Fuzhou, China
Picha hii ya angani ikionyesha eneo la ujenzi wa mtambo mkubwa wa kwanza duniani wa kuzalisha umeme kwa upepo baharini wenye uwezo wa megawati 16 mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Juni 28, 2023. (Xinhua/Lin Shanchuan)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha