

Lugha Nyingine
Mji wa Xinmi katika Mkoa wa Henan, China watumia faida za rasilimali za kihistoria na kiikolojia kukuza utalii wa ndani (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 10, 2023
![]() |
Watalii wakipiga picha mbele ya maporomoko ya maji yaliyoko eneo la utalii la Mlima Fuxi katika Mji wa Xinmi, Mkoa wa Henan katikati mwa China, Julai 9, 2023. (Xinhua/Wu Gang) |
Mji wa Xinmi umetumia faida za historia yake inayoheshimiwa na kuthaminiwa kwa muda mrefu na rasilimali zake za kipekee za kiikolojia kukuza utalii wa ndani. Wakati likizo ya majira ya joto ikiwadia, eneo la utalii la Mlima Fuxi na lile la Furahia Mapumziko la Kimataifa ya Utalii, ambayo ni maeneo makuu mawili ya mandhari ya Xinmi, yamevutia watalii wengi.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma