Bandari ya Huanghua: Bandari muhimu kwa mauzo ya makaa ya mawe Kaskazini mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2023
Bandari ya Huanghua: Bandari muhimu kwa mauzo ya makaa ya mawe Kaskazini mwa China
Meli za mizigo zikiwa zinapakiwa mzigo katika Bandari ya Huanghua huko Cangzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China. (Picha na Zhou Bo/Tovuti ya Gazeti la Umma)

Bandari ya Huanghua iliyoko Cangzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini China inayosafirisha nje ya nchi makaa ya mawe.

Bandari hiyo inajivunia sehemu muhimu ya pwani iliyosanifiwa kwa ustadi yenye urefu wa kilomita 71.4, pamoja na eneo kubwa la ardhi lenye ukubwa wa hekta 8,123. Bandari hiyo ina magati 125, ambapo kati ya hayo magati 104 yanaweza kuhudumia meli zinazozidi uzito wa tani 10,000.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha