

Lugha Nyingine
Kuboreshwa kwa mazingira ya kuishi vijijini kwaongeza ustawishaji wa vijijini Kaskazini mwa China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2023
![]() |
Watu wakifurahia kwenye bustani katika Kijiji cha Beisunzhuang kilichoko Wilaya ya Fengnan katika Mji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Julai 19, 2023. (Xinhua/Mu Yu) |
Wilaya ya Fengnan imefanya jitihada kubwa katika kuboresha mazingira ya kuishi vijijini katika miaka ya hivi karibuni. Pamoja na uboreshaji wa miundombinu na huduma za umma, utalii wa vijijini hapa umeongeza mapato ya wanavijiji, na kuongeza kasi na uhai katika ustawishaji wa vijijini.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma