

Lugha Nyingine
Mlipuko unaodhaniwa kuwa wa gesi kusababisha zaidi ya watu 40 kujeruhiwa Johannesburg (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Julai 19, 2023 ikionyesha eneo ulipotokea mlipuko unaodhaniwa kuwa wa gesi huko Johannesburg, Afrika Kusini. (Picha na Yeshiel Panchia/Xinhua) |
Mlipuko unaodhaniwa kuwa wa gesi umetokea Johannesburg wakati wa saa ya watu wengi kutumia barabara jioni Jumatano. Barabara za wazi zimeripotiwa kubomolewa na zaidi ya magari 20 kupinduliwa. Zaidi ya watu 40 wamejeruhiwa, huku wengi wao wakiwa katika hali mbaya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma