Eneo la machimbo lililotelekezwa lajengwa upya kuwa bustani ya mandhari nzuri (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2023
Eneo la machimbo lililotelekezwa lajengwa upya kuwa bustani ya mandhari nzuri
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Julai 22, 2023 ikionyesha mandhari ya Ziwa Nanhu huko Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhu Xudong)

Ziwa la Nanhu katikati mwa Mji wa Tangshan lilikuwa eneo la machimbo lililotelekezwa la mgodi wa makaa ya mawe. Baada ya juhudi kubwa za urejeshaji mazingira ya asili, sasa limejengwa upya kuwa bustani yenye mandhari nzuri inayochukua eneo la maji lenye ukubwa wa kilomita za mraba 11.5 na eneo lenye uoto wa kijani wenye ukubwa wa kilomita za mraba 16, na kuvutia wakazi wa eneo hilo na watalii kutembelea. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha