Sherehe za sikukuu ya kikabila "Liuyueliu" zafanyika huko Qiandongnan, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2023
Sherehe za sikukuu ya kikabila
Watu wa Kabila la Wamiao wakishiriki kwenye shughuli ya kusherehekea "Liuyueliu", sikukuu ya kikabila, katika Wilaya ya Jianhe iliyoko Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan katika Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Julai 23, 2023. (Xinhua/Yang Wenbin)

JIANHE - Sherehe ya kila mwaka ya tamasha la kikabila "Liuyueliu" inafanyika kuanzia Julai 22 hadi 25 katika Wilaya ya Jianhe iliyoko Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan katika Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China.

Shughuli mbalimbali za kitamaduni zinafanyika wakati wa sherehe hizo zikivutia watu wengi kutazama na kusheherekea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha