

Lugha Nyingine
Mistari ya uzalishaji kwenye viwanda vya magari yanayotumia nishati mpya (NEVs) yafanya kazi kwa kasi kamili katika Mji wa Chongqing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2023
![]() |
Mfanyakazi ana pilikapilika kwenye karakana ya kampuni ya kutengeneza vipuri vya magari katika Wilaya ya Yongchuan, mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Julai 24, 2023. (Xinhua/Tang Yi) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Chongqing imeharakisha ujenzi wa vikundi vya viwanda vya magari yanayotumia nishati mpya (NEVs). Kwa sasa, mistari ya uzalishaji kwenye viwanda hivyo mjini Chongqing inafanya kazi kwa kasi kamili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na la kimataifa.
Kwa mujibu wa takwimu, uzalishaji wa magari ya NEVs mjini Chongqing Mwaka 2022 ulipanda kwa asilimia 142.5 na kufikia karibu 369,000, na uuzaji nje wa magari hayo wa mji huo uliongezeka kwa karibu asilimia 90 kuliko kiwango cha mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma