Wanyama wapoza joto la mwili wakati wa majira ya joto kali

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2023
Wanyama wapoza joto la mwili wakati wa majira ya joto kali

Siku hizi, hali ya hewa imekuwa ikiendelea kuwa joto kali huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. Tarehe 23, Julai, katika Bustani ya Ulimwengu wa Wanyamapori wa Misitu ya Qingdao, wafanyakazi waliwasaidia wanyama wa bustani hiyo kupoza joto kwa kuwanyunyizia maji, kuwapa vipande vya barafu na matunda, kuongeza mabwawa ya kuogelea na viyoyozi ili kupunguza usumbufu unaosababishwa na joto kali. (Picha na Zhang Jingang/Tovuti ya Gazeti la Umma)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha