

Lugha Nyingine
Moto wa nyika wasababisha uharibifu mkubwa nchini Algeria
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2023
![]() |
Mwanamume akikagua nyumba iliyoteketezwa kwa moto wa nyika katika Jimbo la Bejaia, Algeria, Julai 25, 2023. (Xinhua) |
Idadi ya watu waliofariki kutokana na moto wa nyika Kaskazini mwa Algeria imeongezeka hadi kufikia 34, wakiwemo askari 10, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Algeria imesema katika taarifa iliyotolewa Jumatatu. Moto huo ulianza usiku wa kuamkia Jumapili hasa katika majimbo ya Bejaia, Jijel, na Bouira, lakini ulisambaa haraka kutokana na upepo mkali, na kusababisha uharibifu mkubwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma