

Lugha Nyingine
Upendo wa watu wa Ufaransa kwa panda Yuan Meng (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2023
![]() |
Watu wakimuaga panda Yuan Meng (aliye ndani ya gari) nje ya Bustani ya Wanyama ya Beauval huko Saint-Aignan, Ufaransa, Julai 25, 2023. (Xinhua/Gao Jing) |
Safari ya Yuan Meng ya kurejea China akiwa katika ngome maalum iliyojazwa mianzi inakuja siku chache kabla ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika mwaka wa sita. Wafaransa wana mapenzi gani kwake? Je, maisha ya Yuan Meng nchini Ufaransa yalikuwaje? Hebu picha zifuatazo zieleze.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma