Mfumo wa kuondoa maji wa Kasri la Ufalme wenye umbo la dragoni watoa maji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2023
Mfumo wa kuondoa maji wa Kasri la Ufalme wenye umbo la dragoni watoa maji
Tarehe 31, Julai, 2023, mfumo wa kuondoa maji wenye umbo la vichwa vya dragoni la kutoa mvua kwenye Kasri la Ufalme la Beijing, China. Mfumo wa kuondoa maji wa Kasri la Ufalme la China bado unafanya kazi hadi leo. (Picha/Jin Liangkuai)

Mfumo huo ulijengwa wakati wa enzi ya Ming (1368-1644), na hadi hivi sasa bado kuna mabaki ya kale ya mifereji ya mvua ya kilomita 15, ambayo sehemu yake ya kilomita 13 inasetiriwa. Mifereji hiyo inaelekea Mto wa Neijing inayounganishwa na Mto wa Ulinzi wa Mji nje ya kasri hilo, na eneo la Mto Waijin na Mto Zhongnanhai.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha