

Lugha Nyingine
Uokoaji waendelea katika Wilaya ya Fangshan iliyokumbwa na mafuriko ya maji mjini Beijing (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2023
![]() |
Watu wakipanda boti ya uokoaji kuelekea kituo cha kuwahamisha katika Wilaya ya Fangshan ya Beijing, mji mkuu wa China, tarehe 2, Agosti. (Picha na Ren Chao/Xinhua) |
Katika siku chache zilizopita, baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Fangshan yalikumbwa na mafuriko ya maji na majanga ya kijiolojia yaliyosababishwa na mvua kubwa. Kikosi cha uokoaji kinachojumuisha wazima moto, wahudumu wa matibabu na watu wa kujitolea kilikwenda kijiji cha Pinggezhuang, kitongoji cha Liulihe, Jumatano ili kusaidia kuwahamisha watu waliokumbwa na mvua kubwa na mafuriko ya maji.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma