

Lugha Nyingine
Sehemu ya Guiyang-Libo ya Reli ya mwendo kasi ya Guiyang-Nanning itazinduliwa (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2023
![]() |
Treni ya mwendo kasi ya majaribio ikipita Daraja la Tongziyuan la Reli ya mwendo kasi ya Guiyang-Nanning katika Wilaya ya Guiding, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, tarehe 4, Agosti. (Picha na Liu Xu/Xinhua) |
Habari zilizotolewa na Shirika la Reli la China zilisema kuwa, sehemu ya Guiyang-Libo ya Reli ya mwendo kasi ya Guiyang-Nanning itaanza uendeshaji wake Agosti 8. Kasi zaidi ya usafiri wa kutoka Guiyang hadi Libo itakuwa dakika 57 tu, na mkoa wa Guizhou utapata nguzo nyingine ya usafiri.
Reli ya mwendo kasi ya Guizhou-Nanning ina urefu wa kilomita 482 na usanifu wa kasi yake ni kilomita 350 kwa saa. Reli hii itakayofunguliwa ni sehemu yake ya kutoka Stesheni ya Reli ya Longli Kaskazini hadi Stesheni ya Reli ya Libo, na urefu wake wa jumla ni kilomita 175.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma