Ufungaji wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya Chengdu majira ya joto wafanyika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2023
Ufungaji wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya Chengdu majira ya joto wafanyika
Tarehe 8, Agosti, waigizaji wakifanya maonesho kwenye ufungaji wa michezo.

Usiku wa siku hiyo, ufungaji wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya majira ya joto ulifanyika kwenye Bustani ya Muziki ya Chengdu.

Picha zilipigwa na Jiang Hongjing/Mwandishi wa Habari wa Shirika la Habari la China Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha