Shule zafanya ukarabati baada ya maafa ya mafuriko katika Mji wa Beijing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023
Shule zafanya ukarabati baada ya maafa ya mafuriko katika Mji wa Beijing, China
Mfanyakazi wa shule ya chekechea Cao Zhenkun (mbele) na wafanyakazi wa kujitolea wakisafisha uchafu katika tawi la Dongzhuangzi la Chekechea Kuu ya Hebei katika Eneo la Fangshan la Beijing, China, Agosti 15, 2023. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Shule zilizobomolewa na kuharibiwa na mvua kubwa katika Eneo la Mentougou na Eneo la Fangshan katika Mji wa Beijing, China zinafanya kila jitihada kufanya ukarabati wa baada maafa na kujiandaa kwa ajili ya muhula mpya ujao wa masomo. Operesheni mbalimbali zimefanyika kulingana na hali maalum, ikiwa ni pamoja na kusafisha mitaro, kuua vijidudu, ukarabati wa majengo, n.k. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha