Mandhari nzuri ya China:kutafuta hali ya mvuto kwenye Bonde la Hefeng mkoani Hubei

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2023
Mandhari nzuri ya China:kutafuta hali ya mvuto kwenye Bonde la Hefeng mkoani Hubei
Agosti 16, watalii wakitembelea katika bonde la Pingshan mkoani Hubei.

Katika Wilaya ya Hefeng ya Eneo linalojiendesha la Watujia la Enshi mkoani Hubei, eneo lake la misitu ni kubwa sana, ambapo hewa ni safi na hali ya hewa inafaa sana. Bonde la Pingshan lililoko Mji Mdogo wa Rongmei wa wilaya hiyo lina urefu wa kilomita 18, tofauti ya urefu vilele vya mlima na mto inafikia mita 1000 hivi, upana wa sehemu nyembamba zaidi ni futi tano tu, eneo hilo linavutia watalii wengi kutoka nchini na nchi za nje kutembelea.

(Picha na Cheng Min/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha