

Lugha Nyingine
Kituo cha elimu ya awali kinachofadhiliwa na kampuni ya China chatoa elimu kwa watoto nchini Afrika Kusini
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Agosti 11, 2023 ikionyesha darasa la kituo cha elimu ya awali huko De Aar Town, umbali wa zaidi ya kilomita 750 Kaskazini Mashariki mwa Cape Town, Afrika Kusini. (Xinhua/Dong) |
Kituo hiki cha elimu ya awali kimefadhiliwa na kampuni ya Nishati Mbadala ya Longyuan ya Afrika Kusini ambayo ni kampuni tanzu ya Kundi la Kampuni za Nishati za Longyuan za China, ambayo imefadhili uanzishwaji wa vituo vinne vya elimu ya awali huko De Aar ili kutoa elimu kwa watoto kutoka familia maskini. Karibu watoto 500 wenye uhitaji wamedahiliwa katika vituo hivi vya masomo hadi sasa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma