Maonyesho ya 25 ya Wanyama rafiki Wanaoishi na binadamu ya Asia yafanyika Shanghai, Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2023
Maonyesho ya 25 ya Wanyama rafiki Wanaoishi na binadamu ya Asia yafanyika Shanghai, Mashariki mwa China
Mnyama ngekewa (capybara) akionekana kwenye Maonyesho ya 25 ya Wanyama rafiki wanaoishi na binadamu ya Asia huko Shanghai, Mashariki mwa China, Agosti 16, 2023. (Picha na Li Xinyi/Xinhua)

Maonyesho ya siku tano ya wanyama rafiki wanaofugwa na binadamu yamefunguliwa Jumatano katika Kituo Kipya cha Kimataifa cha Maonyesho cha Shanghai, China (SNIEC) na kuvutia zaidi ya waonyeshaji 2,000.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha