Lugha Nyingine
Afrika Kusini yashuhudia kuongezeka kwa watalii katika kipindi cha Januari-Juni
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2023
Watalii wakitazama pengwini kwenye ufukwe wa Boulders Penguin Colony katika Mji wa Simon, Afrika Kusini, Agosti 12, 2023. (Xinhua/Dong Jianghui) |
Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde kutoka Idara ya Takwimu ya Afrika Kusini, nchi hiyo ilipokea watalii wapatao milioni 4.07 katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Juni Mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 78.2 ikilinganishwa na kipindi kama hicho cha mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma