Mandhari ya Mji Mkongwe wa Kashgar wa Xinjiang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2023
Mandhari ya Mji Mkongwe wa Kashgar wa Xinjiang, China
Wakazi wenyeji wakicheza dansi kufuata muziki kwa furaha kwenye eneo la kivutio cha utalii la "Nyumba ya Guli" la mji mkongwe wa Kashgar ulioko Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, China, Septemba 7.

Mji mkongwe wa Kashgar, ulioko kusini magharibi mwa Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, nchini China ni moja ya makazi makubwa ya kiasili ambayo bado yanayotumika duniani. Miaka ya hivi karibuni, utalii katika maeneo ya vivutio ya mji huo mkongwe wa Kashgar umekuwa ukindelea kwa kasi kubwa, maisha ya watu yameboreshwa kwa kiasi kikubwa, na hisia za wenyeji kupata manufaa zinaendelea kuimarika.(Xinhua/ Lan hongguang)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha