Ufukwe mwekundu wa Honghaitan katika Mji wa Panjin, China wavutia watalii kwa mandhari yake ya kipekee

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2023
Ufukwe mwekundu wa Honghaitan katika Mji wa Panjin, China wavutia watalii kwa mandhari yake ya kipekee
Watalii wakitembelea ufukwe mwekundu wa Honghaitan ulioko katika Mji wa Panjin, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini-Mashariki mwa China, Septemba 12, 2023. Ufukwe huo mwekundu wa Honghaitan ni maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia yenye mmea mwekundu wa Suaeda salsa, mojawapo ya spishi chache za mimea zinazoweza kuishi katika udongo wenye alkali nyingi. (Xinhua/Yao Jianfeng)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha