Katika picha: Mbio za kukimbiza kwa kupokezana mwenge wa Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou katika Mji wa Taizhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2023
Katika picha: Mbio za kukimbiza kwa kupokezana mwenge wa Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou katika Mji wa Taizhou, China
Mkimbiza mwenge Lyu Yicong akikimbia na mwenge kwenye mbio za kukimbiza kwa kupokezana mwenge wa Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou katika Mji wa Taizhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Septemba 14, 2023. (Xinhua/Sun Fei)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha