Maonyesho ya 6 ya Helikopta ya China yafunguliwa Tianjin, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2023
Maonyesho ya 6 ya Helikopta ya China yafunguliwa Tianjin, Kaskazini mwa China
Watu wakitembelea Maonyesho ya 6 ya Helikopta ya China yanayofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Septemba 14, 2023., Maonesha hayo yakiangazia uvumbuzi, maendeleo na ushirikiano wenye manufaa kwa pande zote. Yakichukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba takriban 160,000, maonyesho hayo ya siku nne, yameonesha helikopta na droni 65, yakivutia kampuni zaidi ya 350 kuonyesha bidhaa zao, zikiwemo kampuni nyingi ambazo ni watengenezaji wakubwa wa helikopta duniani. (Xinhua/Zhao Zishuo)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha