Katika Picha:washiriki wa “Simulizi yangu ya maandishi ya Kichina Hanzi”ya Mwaka 2023 wajionea maisha mapya kijijini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2023
Katika Picha:washiriki wa “Simulizi yangu ya maandishi ya Kichina Hanzi”ya Mwaka 2023 wajionea maisha mapya kijijini

Picha iliyoonesha mandhari iliyosimuliwa kwenye shairi linalosema“miti mingi inazunguka kijiji,milima ya kijani inasimama nje ya mji”inaonekana tena kwenye Kijiji cha Huangcheng cha Mji wa Beiliu wa Wilaya ya Yangcheng ya Mji wa Jincheng, Mkoani Shanxi.

Mchana wa Tarehe 15,Septemba, washiriki ambao wamemaliza fainali ya “Simulizi yangu ya maandishi ya Kichina Hanzi” walikwenda kijijini,kutembelea makampuni,shule na mtaa wa kale, ili kujionea maisha ya furaha ya Kijiji cha Huangcheng,kaskazini mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha