Maonyesho ya 20 ya China-ASEAN yafunguliwa Nanning, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2023
Maonyesho ya 20 ya China-ASEAN yafunguliwa Nanning, China
Wasanii wakicheza ngoma karibu na Banda la Vietnam kwenye Jumba la Kimataifa la Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja kwenye Maonyesho ya 20 ya China na nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Nanning huko Nanning, Mji Mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Septemba 17, 2023. Ufunguzi wa Maonyesho ya 20 ya China na Umoja wa Nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) na Mkutano wa 20 wa Kilele wa Biashara na Uwekezaji wa China na ASEAN umefanyika Jumapili huko Nanning. (Xinhua/Zhang Ailin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha