Mashindano ya Stadi za Ufundi yafanyika Tianjin, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2023
Mashindano ya Stadi za Ufundi yafanyika Tianjin, China
Mshiriki wa mashindano akishiriki kwenye mashindano ya stadi za kupamba maua kwenye Kituo cha Taifa cha Mikutano na Maonyesho cha China (Tianjin) tarehe 18, Septemba (Picha imeunganishwa picha mbili).

Mashindano ya Pili ya Taifa ya Stadi za Ufundi ya China yaliingia siku yake ya mwisho siku ya Jumatatau, Septemba 18. Kwenye eneo la mashindano hayo katika Kituo cha Taifa cha Mikutano na Maonyesho cha China (Tianjin) washindi wameonesha ujuzi wao bora wa kitaalamu kwa ustadi wao wa mikono na fikra erevu.

Picha zimepigwa na Li Ran/Shirika la Habari la China, Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha