Reli ya kisasa iliyojengwa na China yanufaisha watu nchini Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2023
Reli ya kisasa iliyojengwa na China yanufaisha watu nchini Kenya
Picha hii iliyopigwa Septemba 20, 2023 ikionyesha treni inayoelekea Mombasa ikingoja kwenye Stesheni Kuu ya Nairobi ya reli ya SGR ya Mombasa-Nairobi iliyojengwa na China jijini Nairobi, Kenya. (Xinhua/Han Xu)

Mwaka 2017, reli ya SGR, iliyojengwa na kuendeshwa na Shirika la Ujenzi wa Barabara na Daraja la China, ilifunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma. Ikiwa ni reli ya kwanza kujengwa tangu Kenya ipate uhuru wake, reli hiyo inatembea umbali wa kilomita 480 kati ya mji mkuu wa Kenya, Nairobi na mji wa bandari wa Mombasa. Ikipunguza muda wa kusafiri kati ya miji hiyo miwili kwa saa tano, pia inapunguza gharama za jumla za usafirishaji kwa takriban asilimia 40.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha