Maonyesho ya utamaduni wa China yafanyika Kigali, Rwanda

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Maonyesho ya utamaduni wa China yafanyika Kigali, Rwanda
Msichana akionyesha kazi yake ya Sanaa ya Kichina ya kukata karatasi kwenye maonyesho ya utamaduni wa China huko Kigali, Rwanda, Septemba 23, 2023. (Picha na Huang Wanqing/Xinhua)

Mamia ya Wanyarwanda na Wachina wanaoishi Rwanda alasiri ya Jumamosi, Septemba 23, 2023 walihudhuria maonyesho ya utamaduni wa China yaliyojaa shughuli nyingi huko Kigali, Mji Mkuu wa Rwanda.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha