Mradi wa Barabara ya Keffi unaofadhiliwa na China wawezesha shughuli za kiuchumi za wenyeji nchini Nigeria (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Mradi wa Barabara ya Keffi unaofadhiliwa na China wawezesha shughuli za kiuchumi za wenyeji nchini Nigeria
Wahandisi wa China na Nigeria wakitazama ubora wa ujenzi wa lango la kutoza ada ya kutumia barabara kwa ajili ya barabara ya awamu ya kwanza ya mradi wa Barabara ya Keffi nchini Nigeria, Septemba 20, 2023. (Xinhua/Dong Jianghui).

Mradi wa Barabara ya Keffi nchini Nigeria, unaojengwa chini ya Mkandarasi wa Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC), unajumuisha ujenzi wa barabara kuu ya Abuja-Keffi na uunganishaji wa barabara ya Keffi-Akwanga-Lafia-Makurdi katikati mwa Nigeria. Ukiwa ulianza kujengwa Mwaka 2019 na kukamilika mwaka huu, mradi huo unawezesha shughuli za kiuchumi pamoja na kutoa fursa za ajira na utaalamu wa ujenzi wa barabara kwa wenyeji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha