Mabango 10 ya kukusaidia kufahamu Mji wa Hangzhou, China kwa kupitia Michezo ya Asia (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Mabango 10 ya kukusaidia kufahamu Mji wa Hangzhou, China kwa kupitia Michezo ya Asia

Kuanzia tarehe 23, Septemba, mji wa Hangzhou nchini China umeingia katika wakati wa Michezo ya Asia. Kwa kufahamu Mji wa Hangzhou kupitia michezo hiyo, utaona siyo tu historia yake ndefu na tajiri, bali pia hatua za maendeleo na matumaini ya mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha