Habari Picha za Fainali za Mbio za Marathon katika Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 05, 2023
Habari Picha za Fainali za Mbio za Marathon katika Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou
He Jie wa China akivuka mstari wa kumaliza mbio wakati wa Fainali za Mbio za Marathoni kwa Wanaume katika Michezo ya 19 ya Asia huko Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Oktoba 5, 2023. (Xinhua/Jiang Han)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha