Mji mdogo wa Hengdaohezi wenye majengo mengi ya kihistoria huko Hailin, Kaskazini Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
Mji mdogo wa Hengdaohezi wenye majengo mengi ya kihistoria huko Hailin, Kaskazini Mashariki mwa China
Watalii wakitembelea kwenye mtaa wa utamaduni na sanaa katika mji mdogo wa Hengdaohezi ulioko Mji wa Hailin, Mkoa wa Heilongjiang Kaskazini-Mashariki mwa China, Oktoba 3, 2023. (Xinhua/Wang Jianwei)

Katika mji huo mdogo uliojengwa Mwaka 1897, kuna majengo mengi ya kihistoria na uliwahi kupata Tuzo ya Mali ya Urithi wa Utamaduni wa Asia na Pasifiki iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mwaka 2018.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha