Pilikapilika za mabadiliko ya njia ya umeme wa Bandari Mpya ya Mfereji Mkuu katika Mji wa Huaian, Jiangsu, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2023
Pilikapilika za mabadiliko ya njia ya umeme wa Bandari Mpya ya Mfereji Mkuu katika Mji wa Huaian, Jiangsu, China

Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye eneo la ujenzi wa mradi wa kuhamisha na kujenga upya njia ya umeme wenye nguvu kubwa katika eneo la uendeshaji wa Bandari Mpya lililoko Eneo la Bandari ya Huaian, Mkoa wa Jiangsu, Kusini-Mashariki mwa China, Oktoba 6, Mwaka 2023.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha